Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ipo kwa misingi ya Muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar. Hivyo, naamini Serikali inaundwa ina wajibu wa kuwa na Baraza la Mawaziri lenye ...
Kwanza baraza jipya halina uwiano katika wizara kati ya pande mbili za Zanzibar na Tanzania Bara ambazo zinaunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Magufuli amefanikiwa katika upande wa uwiano ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewahimiza wafanyabiashara kujiandaa na ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Abeida Rashid Abdallah amesaini mpango wa Taifa wa kushughulikia utekelezazi wa ajenda ya masuala ya wanawake, kuhusu ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amevikumbusha vyuo vikuu vilivyopo ...