"Ghost ni ishara ya wito wangu" ananiambia. "Tulipoanza kuleta ugaidi Bakhmut, tulipata jina 'mizimu ya Bakhmut'." The Ghosts, timu ya takribani wanajeshi 20, wamekuwa wakifanya kazi kwenye kingo ...