Hakuna tangazo madhubuti juu ya mpango wa kumaliza mzozo. Vita hivi kati ya Rwanda na DRC vinaleta wasiwasi ndani ya Umoja wa Afrika, AU. Ni nchi moja tu, Burundi, iliyoomba siku ya Jumapili ...
katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa pia ametoa wito wa "mazungumzo kati ya pande zinazopigana" mashariki mwa DRC. Umoja wa Ulaya umesema siku ya Jumamosi kwamba "unachunguza kwa dharura" chaguzi zote ...
Tshisekedi alisema amepata uungwaji mkono wa kidiplomasia kutoka kwa viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU), ambao wamelaani jukumu la Rwanda katika mzozo wa DRC na kudai kuwa wanafanyia kazi vikwazo ...
Sudan, 'Janga baya zaidi la kibinadamu na ufurushaji mkubwa wa wakimbizi kuwahi kutokea ulimwenguni'
na ukosefu wa usalama wa kudumu. Wakati Umoja wa Mataifa ukijiandaa kuzindua ombi la fedha la kuvunja rekodi la dola bilioni 4.2 kusaidia operesheni za misaada ya kibinadamu nchini humo, haya hapa ni ...
UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), ambao umekuwa ukifuatiliwa kwa karibu siku za hivi karibuni, umefanyika mwishoni mwa wiki na Mahamoud Ali Youssouf Ali Youssouf, Waziri wa ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amekaribisha hatua ya hivi karibuni zaidi ya kuachiliwa kwa mateka huko Gaza na utekelezaji unaoendelea wa usitishaji mapigano kati ya Israel na ...
ADDIS ABABA: UMOJA wa Afrika umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mgawanyiko wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kufuatia waasi wa M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, kuchukua udhibiti wa mji mwingine ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza kuhusu masuala ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kwenye mkutano wa kawaida wa 38 wa wakuu wa nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) ...
Kusonga mbele kwa waasi hao kumetokea wakati mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) ukiendelea nchini Ethiopia. Mzozo wa DRC umekuwa mada kuu ya mjadala katika mkutano huo wa siku mbili, ambapo viongozi ...
Mpango huo ukamvutia Kawawa na aliporudi nchini akamwambia Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa TANU, Joseph Nyerere. Naye akalipeleka kwenye mkutano mkuu wa Umoja wa Vijana wa TANU, baada ya uhuru wazo ...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wawakilishi Wanawake (UWAWAZA), Dk Saada Mkuya Salum wakati akichangia hoja ya dharura iliyowasilishwa katika baraza hilo juzi, alisema changamoto za ukewenza zimeibua migogoro ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results