Aidha, upo ushahidi kutoka kwa uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kwamba M23 inapokea msaada kutoka Uganda. Ripoti zinaonyesha kuwa wanajeshi wa Kongo, wanamgambo wanaoungwa mkono na serikali wanaojulikana ...
Mkutano huu unafuatia mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya vikosi vya Umoja wa Mataifa na ujumbe wa kulinda amani wa SADC Mashariki mwa DRC, hali iliyosababisha vifo na majeruhi kadhaa. Siku ya ...
Monday, Jan. 16, 2023. The Community Education Coalition’s Umoja Unity team is extending an invitation to faith-based organizations to join in a discussion of love and respect on Wednesday ...
Tangu uhuru wa nchi hiyo mwaka 1960, Umoja wa Mataifa umeleta manufaa sana nchini DRC, ikiwa ni pamoja na kutumwa kwa operesheni tatu za amani ambazo kwa upande wake zimechagiza shughuli za ulinzi wa ...
Nchi 47 wanachama wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa zitaamua siku ya Ijumaa kama kutuma ujumbe wa dharura wa kutafuta ukweli kuhusu mauaji yaliyofanywa mashariki mwa Jamhuri ya ...
Bakersfield College hosts the 7th annual Umoja Black History Month Conference in the Renegade Event Center on Feb 6th. Umoja is a Kiswahili word meaning unity. African American S Through Excellence ...
NEW YORK : KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelikataa pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kudhibiti Gaza na kuwahamisha Wapalestina. Katika mkutano na waandishi wa ...
Katibu Mkuu wa chama kikuu tawala cha Liberal Democratic, LDP cha nchini Japani Moriyama Hiroshi ameashiria kuwa chama hicho hakina mpango wa kupeleka wabunge wake kwenye mkutano wa Umoja wa ...
Mwishoni mwa mwezi wa Januari, nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya walilaani kwa uwazi "uwepo wa wanajeshi wa Rwanda nchini DRC", waliwataka M23 "kujiondoa", na kuwatishia kuchukuwa vikwazo.
Msemaji wa Serikali ya Congo,Patrick Muyaya, amesema hakuna kusitishwa kwa mapigano, na badala yake wanachosubiri ni kuondoka kwa waasi hao nchini humo. Kauli hiyo ya serikali ya Congo inakuja huku ...
NAIROBI, 28 January 2025 – With unwavering resolve and a message of hope, Holocaust survivor Mr. Lyonell Fliss urged humanity to embrace peace and mutual respect during the International Day of ...
Kufuatia utekaji huo, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umewashutumu waasi wa M23 kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa na DRC na Rwanda mwezi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results