Baada ya raundi saba za ... picha, Getty Images Raila alipotangaza rasmi nia yake ya kuwania kiti hicho, viongozi kadhaa kutoka EAC akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan walizuru Nairobi, Kenya kwa ...
Mshambulizi wa Manchester United Muingereza Marcus Rashford, 27, ambaye yuko kwa mkopo Aston Villa, hajakata tamaa ya kujiunga na Barcelona msimu huu wa joto. (Sun) Chanzo cha picha, Getty Images ...
Mkurugenzi huyo anafafanua kuwa wanachokifanya ni kufika katika nyumba zenye watoto walemavu na kutoa elimu kwa wazazi au walezi kuhusu haki za watoto hao ikiwamo kupata elimu. Anasema mlemavu ana ...
JUMUIYA ya Wafanyabiashara Kariakoo imewasimika Mabalozi wa nyumba ... na kuwepo kwa walipakodi wadogo, wa kati na wakubwa hivyo ipo haja ya TRA kuwa karibu nao na kuwasaidia kuondoa changamoto ...
What are the best Minecraft house ideas? Here, you’ll find some of the best Minecraft houses to inspire your next creation. There are many themes and materials at your disposal in 1.21, so we ...
Alieleza kuwa mzazi wake alifanikiwa kuanzisha biashara ya kufuga kuku kwa msaada wa fedha za TASAF, na hata hivyo, anapata msaada wa ziada kutoka kwa fedha za mkopo ili kumudu gharama za maisha.
LONDON, ENGLAND: BUKAYO Saka ataendelea kuwa nje ya uwanja kwa wiki nane zaidi huku tatizo la majeruhi likiendelea ... Hivi karibuni, klabu hiyo ilichapisha picha za mchezaji huyo akifanya mazoezi ...
Ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa, UN na Muungano wa AFrika, AU, umefikia kiwango cha juu kabisa, huku taasisi zote mbili zikijizatiti kusongesha amani, usalama, na maendeleo barani Afrika. Katibu ...
Wananchi hao wanapaza sauti zao ikiwa zimepita siku 28 tangu TBS waingie katika uchunguzi wa mafuta hayo ili kubaini kama kweli ndio yaliyoleta athari kwa wananchi. Taarifa zinaeleza kuwa wananchi hao ...
Bwana Guterres amerudia wito wake kwa pande zote kuheshimu sheria ya kimataifa ya kibinadamu na sheria za kimataifa za haki za binadamu.
Kuna uwezekano mkubwa Aziz Ki akanunua nyumba au kujenga hapa ili familia yake iweze kukaa kwa utulivu maana wote tunafahamu kuwa mwanamke huwa na nguvu mbele ya mwanamume. Inawezekana Aziz Ki akaenda ...
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo, kutokana na ...