Mmoja wa askari wa usalama barabarani akipokea pesa ya ‘ushirikiano’ kutoka kwa kondakta katika moja ya vituo vya ukaguzi barabarani mkoani Kigoma kama alivyonaswa na mwandishi wa ripoti hii ZIKIWA ...