Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imethibitisha kesi za mauaji ya watoto wiki iliyopita huko Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hali "inazidi kuzorota ...
Hakuna tangazo madhubuti juu ya mpango wa kumaliza mzozo. Vita hivi kati ya Rwanda na DRC vinaleta wasiwasi ndani ya Umoja wa Afrika, AU. Ni nchi moja tu, Burundi, iliyoomba siku ya Jumapili ...
Wafanyakazi 24 wa Umoja wa Mataifa, pamoja na wafanyakazi kutoka NGOs nyingine za ndani na kimataifa wameshikiliwa na waasi wa Houthi katika miezi michache iliyopita. Wimbi la watu kukamatwa mwezi ...
Tshisekedi alisema amepata uungwaji mkono wa kidiplomasia kutoka kwa viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU), ambao wamelaani jukumu la Rwanda katika mzozo wa DRC na kudai kuwa wanafanyia kazi vikwazo ...
The 2026 United Nations Water Conference, co-hosted by the United Arab Emirates and Senegal, aims to accelerate the implementation of Sustainable Development Goal (SDG) 6: Ensure availability and ...
Historia ya ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa inaonesha ulianza miaka mitatu tu baada ya kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa wenyewe. Na kutokana na umuhimu wa ulinzi wa amani kote duniani, shughuli ...
Multilateralism' yaani Ushirikiano wa kimataifa ni neno linalotumika mara nyingi katika Umoja wa Mataifa, lakini si dhana ambayo inafaa tu kwa mikutano ambapo diplomasia ya kimataifa hufanyika.
UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), ambao umekuwa ukifuatiliwa kwa karibu siku za hivi karibuni, umefanyika mwishoni mwa wiki na Mahamoud Ali Youssouf Ali Youssouf, Waziri wa ...
Kundi la waasi wa M23 linaendelea kusonga mbele katika maeneo muhimu ya kimkakati mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya kuteka miji mikubwa ya Goma na Bukavu. Kutokana na ...
ADDIS ABABA: UMOJA wa Afrika umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mgawanyiko wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kufuatia waasi wa M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, kuchukua udhibiti wa mji mwingine ...
Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, imethibitisha mauaji ya watoto wiki iliyopita katika Mji wa Bukavu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Taarifa iliyochapishwa leo ...
Kusonga mbele kwa waasi hao kumetokea wakati mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) ukiendelea nchini Ethiopia. Mzozo wa DRC umekuwa mada kuu ya mjadala katika mkutano huo wa siku mbili, ambapo viongozi ...